Jumamosi, 21 Januari 2017
HOW TO TURN WATER INTO WINE. (JINSI YA KUBADILI MAJI KUWA DIVAI)
Nashukuru Mungu kuweza kuwa nanyi hapa leo tena, ni neema ya Mungu. Hope mpo salama. So leo tujifunze pamoja something very important.
Kwanza nianze kwa kusema kuwa kosa mojawapo katika maisha yako utakalolifanya ni kuishi maisha yako yote hujawahi kusoma Biblia tena kwa USAHIHI siyo kwa ajili ya kuendea mbinguni tu bali kwa ajili ya kujifunza mambo muhimu mbali mbali kuhusu maisha (of course ikiwemo hilo la mbingu). Hii haijalishi unawaza nini kuhusu Biblia au wewe ni dini gani. Nasema hivyo kwa sababu kama utajifunza kitu katika makala yangu hii ya leo basi ujue kuwa unahitaji kuanza kusoma hiki kitabu.
Sasa tuendelee..
Sasa bana.. Kwa miaka mingi toka niko mdogo nimesikia mara nyingi sana kuhusu huu muujiza wa Yesu. Unarekodiwa kuwa muujiza wake wa kwanza in public. Na hata nilikuwaga sielewi. Na wengi hawaielewi lessons mbali mbali zilizo katika story hii inayopatikana John 1:1-11.
Leo naomba tushirikiane kujifunza machache tu ya kukusaidia kuondoka katika hali uliyonayo. Kila mtu ana hali fulani maishani mwake asiyoipenda iwepo either kwake au katika maisha ya watu anaowapenda. Kama huna wewe umeshakamilisha kila unalotaka duniani basi jiandae kurudi kwa muumba wako any time. Sasa kwa makala hii jambo unalotaka ndiyo WINE/DIVAI yako. Ila lazima ubadili maji kuipata.
Unataka kuolewa, kuoa? Watoto? Unataka kufanikiwa kifedha, unataka ajira, unataka nini? Chakula cha kutosha ghalani mwako? Unataka kuwa kiongozi wa nchi au kampuni kubwa? That's your wine.
Unataka kujenga biashara kubwa ya kuigwa mfano? That's your wine.
Unataka kusaidia familia yako iondokane na umaskini kabisa? That's your wine. Unataka kutatua tatizo la michezo Tanzania kutofika mbali? That's your wine? Unataka kumiliki kampuni kubwa ya usafiri wa anga duniani? That's your wine.
Maji ntakwambia ni nini. Be patient...
So baada ya kujifunza upya kuhusu huu muujiza nilijifunza mambo YAFUATAYO ambayo ndo teknolojia yenyewe ya kubadilisha maji kuwa divai:
1. DEALING WITH NEGATIVE PEOPLE
Aisee nilikuwa sijajua hivi vitu na naomba ujue kuwa hakuna kitu kinachokwamisha mafanikio ya watu wengi kama kuruhusu NEGATIVITY kichwani mwako. Huyu mtu anaitwa Yesu alikuwa strict kweli kweli when it comes to that. Hakuwa na maskikhara haijalishi anayeleta negativity ni mama mzazi, mwanafunzi ambaye atakabidhiwa uongozi baadaye, au ndugu wa rafiki yake kipenzi. Kumbuka Simoni Petro alipomkemea Yesu asiongee kuhusu kifo chake Yesu akamkemea back kwa kumwambia "Rudi nyuma yangu shetani". Hakutaka kabisa kuwaza negative. Hata rafiki yake kipenzi alipofariki akaletewa habari alijibu "HAJAFA... AMELALA TU". See? Very positive.
Sasa tuone hapa Kana ya Galilaya. Mama yake Yesu kaalikwa. Na Yesu na wanafunzi wake wamealikwa pia kivyao. Kinywaji kimeisha. Yesu anajua. Na anajua cha kufanya. So hakuhitaji mtu wa kuja kumwambia kuhusu kukosekana kwa DIVAI. Sometimes watu wanaukuja kukuambia habari mbaya kuhusu maisha yako au maisha ya uwapendao huja kwa nia inayoonekana machoni kuwa njema lakini kumbe wanaweza kuwa wanatumika kukuyumbisha kiimani. KUMBUKA. Narudia, KUMBUKA kuwa huhitaji negative statements nyingi ili uishiwe imani au ushindwe kuachieve kitu unachokitaka. Sentensi moja tu inawezekana ikakumaliza wewe na watu wako wote. Eva aliposikia sentensi fulani fupi tu kutoka kwa nyoka (nyoka akiwa ameingiwa na shetani) Eva akala tunda.. Sentensi fupi tu.... "Hakika hamtakufa..." (Mwanzo 3:4). Eva wa watu akaamini kumbe hakuna kufa. Afu kumbe kuna kufanana na Mungu. Akakosesha kizazi kizima cha binadamu. Yesu alikuwa anajua UMUHIMU wackutokaribisha NEGATIVITY kutoka kwa mtu yoyote. Ndo maana mama mzazi alipokuja kuleta habari mbaya. Negative. "Hawana divai". Biblia ya kiingereza inaonyesha alijibu kwa ukali kidogo. "Woman, what have I to do with thee?..." (John 2:4). Halikuwa jibu la kukosa adabu but jibu la kuonyesha strictness. Petro aliitwa shetani katika mambo ya aina hiyo. Lakini huyu ni mama. Ila ni kama aliambiwa " mama niache najua". "Tuna nini mimi nawe?"
That's how you treat negativity. Reject it on the spot. Mtu akikuletea habari za kukwambia nchi ina matatizo, nchi ina njaa, nchi ina ukame, nchi haina ajira, nchi hiki nchi kile. Nchi hii watu hawana hela. Mtaani hali ni ngumu. Afu na wewe ukashabikia.. Ujue you will NEVER get your wine. I'm telling you. Achana na habari za kusikiliza negative people. Kuna watu na pages za kuunfollow na kuna watu wa kublock. They're are simply too negative. Be like Jesus. "Tuna nini mimi na wewe?" ina maanisha pia "What DO I HAVE IN COMMON WITH YOU?". When you're positive you have nothing in common with negativity of any kind.. Mtu akikwambia aisee unajua hali ni ngumu mwambie "Kati yangu na wewe kuna kitu tunafanana?". Ifikie mahali mtu anakuja kukuelezea shida na matatizo akifika kwako anaahirisha. Ukistudy watu wengi walikuwa wanamwambia Yesu matatizo. Mwanangu anaumwa. Rafiki yako amekufa. Hawana divai. Tunaangamia (na dhoruba). Hawakuona kuwa kuwa na Yesu was a solution itself. Watu wanakwambia hakuna ajira
Watu wanakwambia Biashara ni ngumu. Pesa hakuna. Na wewe unasikiliza. You will never accomplish what you want. Lazima ifikie hatua unakataa kusikiliza. Hata kama ni mke/mume au mzazi. Mwambie hamfanani wala hamuwazi the same.. You have nothing in common. Tuna nini mimi nawe. Yesu hakuwahi kuentertain habari kutoka kwa mama toka siku hiyo. Yani alimuunfollow. Yes. Kuna wakati Yesu anahubiri akaambiwa mama na ndugu zako wako nje. Nadhani jibu lake unalikumbuka. Mama na ndugu zangu ni hawa wanaonisikiliza
. Ameshaunfollow.. That's why wakati anakufa akamkabidhi kwa Yohana. Mama tazama mwanao. Biblia ya Kiingereza inasema WOMAN BEHOLD YOU SON
.
Hakutaka kuwa tied na mtu kisa ni mzazi wakati anaweza kumkosesha bila kujua. Unajua wengi Yesu hawamwelewi. Reject negativity completely.
That's step one.
2. IDENTIFY YOU WATER.
Cha pili ni kuwa ukishakataa negativity haitoshi. Wine haiji bila "MAJI" right. So you have to identify your "water". Raw materials. Nini kinapatikana hapo ulipo wewe ambacho kinaweza kukupa what you want. Wengine wenu MAJI yako ni kipawa chako. Wengine maji yako ni idea fulani unayo. Wengine wenu maji yako ni watu wanaokuzunguka majirani nk. Wengi wa vijana wanaohangaika na ajira elimu hiyo hiyo waliyonayo ndo MAJI yenyewe. They have the raw materials. Kila mtu mwenye shida ana some kind of raw materials ya kubadili kuleta DIVAI anayotaka. Find your raw materials. Hii huwezi kujua bila kuwa mtu wa kukaa peke yako kuongea na Mungu na kutafakari neno la Mungu na kutafakari UKUU wa Mungu na kutafakari ambayo Mungu keshakutendea. You must set aside muda wa kutosha ina a day at least 1 hour wa wewe na Mungu wako tu. Utaletewa majibu tu ya kujua what's your WATER. Be sensitive to God's voice wherever you are. Yesu alikuwa katika sensitive mode hiyo wakati mama mzazi analeta habari za hakuna divai. Yesu hakutaka mind yake kuyumbishwa na mtu yoyote hasa kwa vitu ambavyo tayari anajua na anafanyia kazi. Tatizo wewe mind yako haitulii. Unayumbishwa na kila mtu. CCM wakisema hivi unayumbia huko Chadema wakisema hivi unayumbia huko. Hutaki kukaa na kuwaza kama wewe. Ifikie mahali utambue RAW MATERIALS zako on your own.. Usisubiri CCM au UKAWA wakupe solution ya nini unahitaji kutimiza malengo yako.. I'm telling you if you look around kuna MAJI ya kutosha kupata DIVAI ya kutosha. Hivyo ndo Yesu alivyokuwa anawaza. Wakati mama anaona LACK. Yesu aliona PROVIDENCE. Huyu anaona ukame huyu anaona evergreen. Get my point? Ukiona watu wanaongelea UKAME na wewe unaona UKAME ujue kwanza huna imani ndani yako na pili umeshaambukizwa negativity ya kutosha hali yako kiroho na kifikra ni mbaya. Wanaoweza kumwona Mungu ni wanaoweza kuona DIVAI katika vyombo vitupu. And I'm saying lazima uitrain mind yako kukagua mazingira yako ili kuona MAJI. Raw materials. Huwezi kufika hapo kama hujablock baadhi ya watu Facebook na kuunfollow baadhi ya pages na groups. That's why kila unayesikia analalamika. Negativity imejaa vichwani. Wengi wameshindwa kuona anything good anymore. Wanawaza tu HAKUNA hiki, hakuna kile. Hakuna mvua
hakuna ndoa za kweli, hakuna elimu, hakuna ajira, nakutana na vijana wengi wananambia sina mtaji, wengine wanasema hakuna mikono, hakuna dawa hospitali, hakuna hela mtaani, hakuna maua, hakuna wateja. Hawaangalii around. Kumbe kuna maji ya kutosha kujaza mabalasi. Kuna solution hapo hapo ulipo. Block some negative people wanaofanya akili yako isifocus kwenye kuidentify your RAW MATERIALS. Yes. Kataa. Sasa wewe una entertainment eti ooh this is my bae. Your bae? Fine, but you'll NEVER get your wine. Yesu hakufanya kitu cha ajabu. One alikataa negativity. Pili alifocus kwenye raw materials. Umenielewa?
3. TAKE ACTION BY TOTAL FAITH.
Ukishajua MAJI yako ni nini. Just take action.. God is waiting to see you take that step. Sikia. Tragedy kubwa ni kuwa wengi wanaomba Mungu afu wanasubiri majibu. Badala ya kutake action.. Jesus took action.. Akawaambia watumishi "FILL THE WATERPOTS WITH WATER". Ok kujua raw materials tu haitoshi unapaswa kujua wapi ipelekwe. Na njia gani. Haya yote utayajua kama tu wewe ni mtu wa kutuliza kichwa. Acha kuyumbishwa. Tuliza kichwa hicho. Wengine vichwa vyao havitulii hata akilala kichwa kinazungukwa na majinamizi na vikatuni katuni tu. Hawezi kukaa one hour tu aseme natuliza kichwa. Waajiriwa wengi wakipewa likizo badala wakatulie kuwaza wanaenda kushinda kwenye TV au baa au kwenye miradi. Culture ya kutuliza kichwa haiko. Ndo unakuta raw materials ziko na mtu ni positive lakini hawezi kubadili MAJI KUWA DIVAI sababu kichwa hakijatulia. So unapaswa kutuliza kichwa na kutake action kwa imani. Yesu aliwambia JALIZENI MABALASI MAJI. Wakajaza hadi juu. Nice. Kisha Akawaambia TEKENI MKAMPELEKEE MKUU WA MEZA. Yani action after action. Hakuna kusikilizia. Mungu anataka hivyo.
Umekataa negativity
Umetambua raw materials zako
Then take action non stop.
Hapa wengi husita.. Keshajua ana uwezo wa kuongea vizuri badala akaombe kazi kwa imani anasita. Keshajua anaweza kuongea na watu badala akaanze biashara kwa imani anasita. That's why ni wachache wanapata divai. Wachache sana wanabadili MAJI KUWA DIVAI.
Je ungependa kuwa miongoni mwao? Ujumbe wangu kwako ni huu.
Achana na negative people. Mtakutanaga mbinguni. Kama watakuwepo.
Then tambua MAJI yako ni nini?
Then take action.
Write that book.
Compose that song. Hujiulizi huyu kijana anawazaje kichwani?
So take action..
By faithCall that customer
Talk to that potential partner.
Start that business.
Write that speech
Write that proposal
Identify your WATER See the WINE in the water then take action.
That's how to turn water into wine.
Unajua hakuna aliyejua maji yamebadilika saa ngapi exactly kuwa divai except Jesus and God in heaven. Hivyo hivyo watu hawatajua lini exactly ulibadilika kichwani except you. Watu hawatajua lini exactly account yako ilianza kusoma 6 figures except you. Watu hawatajua lini exactly maji yako yamebadilika kuwa DIVAI except you. Be bold. Block all negativity. Permanently. First things first. Ukiweza hilo mengine ni rahisi tu.
Nikikuona unalalamika tena ntajua tu hujajua kuhusu somo la maji na divai. Najua kuwa UMEFUNGA NDOA NA NEGATIVITY na hauko tayari kuandika talaka. Ntakuacha kama ulivyo.
Be bold. Turn your water into WINE. It can be done.
Semper Fi,
Andrea G. Muhozya
Dar es Salaam, Tanzania.
East Africa
+255788366511
www.andreamuhozya.blogspot.com
Jumamosi, 14 Januari 2017
UNATAKA MAFANIKIO, SAWA LAKINI UNALIMA MAHINDI AU MINAZI?
Kwa neema ya Mungu wa mbingu na nchi nimepata wasaa wa kushare na nyinyi tena jambo muhimu.
Nimebarikiwa kukutana na watu wengi mno hasa vijana kila siku na kubadilishana mawili matatu kuhusu mafanikio. Na nimejifunza kuwa watu wengi hawafikii mafanikio wanayoyataka sababu wanataka KULIMA MAHINDI.
Wanataka kuvuna haraka haraka so hawataki KULIMA MINAZI.
Kila anayetafuta mafanikio ni MKULIMA. But kuna watu wamechagua kulima mahindi na wachache wamechagua kulima MINAZI. Nadhani kwa kuangalia mazao niliyoyataja unaweza kuona tofauti kubwa ipo zaidi katika inachukua muda gani kuja kuvuna. Mahindi ni fasta tu.....lakini minazi! Weeee..... Inabidi uvute pumzi kweli kweli.
So nimejifunza kuwa ukitegemea kilimo cha mahindi utavuna haraka lakini ukishavuna itabidi ulime tena. Au siyo? So hiyo ndo inakuwa life. Ila minazi utasubiri sana. But ukianza kuvuna hulimi tena. Ujue Mungu bana ana vitu amazing sana ukitafakari. Sasa the best way for you in life ni kulima minazi. I believe hadi hapa umeshaelewa kuwa majina ya mazao nimeyataja tu kama kiwakilishi cha njia utayotumia kufikia mafanikio yako. Kubali kuinvest a lot of time. Kama umewahi kuangalia video ya CHINESE BAMBOO utakuwa unanielewa vema. But kama hujaitazama nakushauri stop kwanza kusoma huku chini kisha uingie hapa https://youtu.be/2nFDmrLGgYM uitazame ni fupi tu. Kisha utakuja uendelee. Tutaenda sawa mno.
Now...
Watu wengi hawataki kuinvest muda kwa kuwa wanataka wafanikiwe WAO. Kuna a selfish motive ndani ya kutaka kwao mafanikio. Na hata akificha if he/she sticks around long enough itadhihirika tu kwa kukosa kwake subira. Kufanya jambo linaloleta matokeo baada ya muda mrefu mno ni jambo ambalo wengi hawataki. Na kwa kuwa sasa tunaishi katika ulimwengu wenye Instagram na kufesibuka kwa sana mtu akiona picha za wenzake wanavaa vizuri vizuri anatamani kuwa kama wao haraka haraka. So kama wameajiriwa anatamani kuajiriwa fasta. Ndo maana waajiriwa wengi wana magari (of course ya mikopo) sababu kubwa ni hii "comparison fever". Nimeielezea kwa kina sana in my upcoming book. Lakini kama unataka mafanikio ya kudumu hupaswi kamwe kujilinganisha na mtu. Unapaswa kuangalia PLAN ZAKO (kama unazo that is) na kuzifanyia kazi. Unachoweza kufanya ni kuangalia waliofanikiwa walipita wapi kisha ujifunze kwao na kuboresha. Lakini usitake kuwa Bakhressa leo kwa miaka mitano.
It takes time. Bhakhressa hajaanza "kulima" mwaka juzi.
Long time kitambo.
It took him time.
Being Dewji took time.
Being Mengi took time.
Being Dangote took a very long time, and many a sleepless night.
Being Warren Buffet took time.
Being a really successful YOU takes time. A long time. Ni kama kulima Chinese Bamboo. Si umeshaicheki hiyo video? Kama bado hebu icheki. Seriously.
Winning an election especially for the first time as a party takes a long time.
Talking of which najifunza mengi kwa vyama vya upinzani hapa kwetu Tanzania. Jinsi ambavyo, kwa mawazo yangu madogo, ninavyoona wanahangaika kulima mahindi badala ya kulima minazi ambayo ndo itawafikisha mbali.
Mfano:
Niweke WAZI hapa kuwa suala la upinzani kuchukua dola ni jambo jema mno kwa ustawi wa taifa letu kwa ajili ya kuencompass mawazo mbadala ambayo mengi huonekana kama hayafanyiwi kazi na chama tawala. Huo ni mtazamo wangu na siyo sababu nataka kufurahisha mtu. Ni jambo jema, but I like to say siyo lazima ENDAPO mawazo yao yatafanyiwa kazi na taifa likaendelea vizuri. And that can become a bigger problem kwa upinzani kama CCM ikiboresha say hata 70% tu ya issues.
HOWEVER shida ya vyama vya upinzani ninayoiona mimi ni kuwa mpaka sasa hawataki kulima minazi wanataka mahindi. Bila kujua kuwa mkulima wa mahindi akivuna lazima alime tena msimu ujao bali mkulima wa minazi akilima mara moja tu kinachobaki ni kuvuna. Mfano Sasa hivi ukitazama upinzani wanawaza 2020 washinde uraisi. Mahindi. Wakishindwa "tumeibiwa kura". Hawaonagi wapi wamekosea. Haya, ikiisha hiyo watawaza 2025. Which mpaka sasa ni ngumu kwao. Coz kama wataendelea kupresent Mhe Lowassa, au Mhe Sumaye as wagombea wao basi wawe na uhakika wa kushindwa kama CCM itamweka tu hata Nape au Makonda. (I believe ccm ina a surprise package for 2025 yuko anapikwa kupokea mikoba ya Magufuli) See? That's the difference.
Upinzani wana nani anapikwa now? Wanapaswa wapike mtu au watu for a long time. Minazi. Hivi mfano wangepika mtu kama Mnyika for say, 30 years toka alipokuwa 25 years old mpaka afike 55 years old akiwa anaandaliwa tu kuwa raisi every single day for 30 years wangeshindwa kuiondoa CCM kama wana hiyo GOAL? See, strategies hizo hazionekani that's why wanatafuta mtu ambaye ni maarufu tayari (ready made product) kama Lowassa ambaye kajijenga kivyake or rather and worse kajengwa na ccm hiyo hiyo. Ccm ina akili sijawahi ona. Imeinvest kwa lots of youth muda mrefu. Wapinzani hawataki kuinvest for the long haul. Wanawaza 2020 eti. Na 2025. Ukiwauliza nani anagombea in 2040 usikute hata idea hiyo haijafikiriwa. Sasa kama plan za miaka 25 tu mbele hakuna mnatamani nchi ili muipeleke wapi? They've already failed in 2025. I assure you. Trump alijiandaa for a long time and hakuna aliyejua kuwa atashinda nomination ya GOP. That's why kina Obama na Clinton waliishia kumkejeli na kudharau wakati yeye kisha study kuhusu ELECTORAL COLLAGE for many years kimya kimya.
Kuishinda ccm unahitaji surprise package ya hatari ambayo wapiga wakiiona wanasema wow, huyu sasa ndo tulikuwa tunataka. Inahitaji kulima minazi. Waangalie mbali aisee. Tatizo watu wanataka now now. Kilimo cha mahindi.
That's why hawana key ideas wanazosimama nazo bila kutetereka. Utasikia ufisadi. Saivi kimya. Maksi zinaondoka. Saivi unasemwa udikteta na uonevu mara raisi anajifanya mtakatifu mara serikali imekula rambi rambi mara serikali imenyima watu msosi wakati wana njaa. Mara ruzuku za CUF. Yani HAKUNA central idea ya kusimama nayo hata katiba ni kama inapotezewa sababu ya siasa za matukio. Kwa nini wasiseme okay kuna tetemeko but issue central ni katiba hatuhami mpaka ije. Au Okay raisi kaja na style tofauti ya uongozi but tunasimama na katiba. Hakuna central issue. But wanakuwa wa matukio sababu wanataka wewe RELEVANT bado kama CCM. Ndo unasikia ukuta, ukiisha inakuja kata funua, maneno yenyewe ya mtaani kabisa. Kata funua ndo nini kwa watu serious wanataka nchi. Wameshindwa kuja na phrase inayoeleweka kweli? Eti kata funua. Hata nayo haiwi communicated kwa wapiga kura ieleweke inamaanisha nini? How can God give you authority ya kuongoza watu wake?
Kama upinzani ambao by the way una maanisha chadema, kama wanataka kushika dola wajipange for a really long time. Wakubali kilimo cha minazi. Otherwise basi maneno ya "Profesa" Jay kwenye wimbo wake Bongo Dar es Salaam yanawahusu: "..mtangoja milele na "mtakufa" bila kelele kama walivyokufa wafuasi wa kibwetere". Mhe Haule anapaswa awakumbushe maneno hayo.
Watu wengi hawana tofauti kimwenendo na hilo nililolieleza. Wana-approach success kwa kutaka wafanikiwe WAO. Na hivyo wanakosa wao na kuwakosesha hata watoto wao. Ni kweli inawezekana utafanikiwa wewe. Lakini angalia zaidi after wewe yatadumu. Nyerere aliona hilo. CCM yake imeyumba kweli kweli lakini bado ipo ipo sana. Uongo?
Thomas Edison na invention ya light bulb, kina Henry Ford, Ferdinand Porsche kina Lamborghini kina William Deloitte walifanikiwa kwa kuchagua kulima minazi. Siyo mahindi. Njaa ya msimu kama haiui basi haina shida. Wanasema WHAT DOESN'T KILL YOU MAKES YOU STRONGER. Manji amekuta utajiri wa babu, wewe kwa nini usiweke FOUNDATION ya wajukuu zako kufanikiwa. Hutaki. Afu unasema babu yangu hivi kwa nini hakuwahi viwanja Masaki? Kwani umeambiwa vimeisha? Si ukanunue sasa wewe ili wewe uwe babu mzuri kama unavyosema? Shida unataka kulima mahindi. Short term relevance. Yani uwe kwenye chati kila siku. Long term and meaningful success inahitaji uonekenane kama haupo. Kwani mwaka 2000 ulikuwa unamjua Dangote?
Mafanikio yasiyodumu baada yako hata mbinguni huendi. Yani kazi yako IKIFA baada ya wewe kufa imekula kwako. MATUNDA yako lazima yadumu. Alisema "mpate kuzaa matunda na matunda yenu yadumu/yakae". Sasa matunda ya kudumu yanachukua muda. Kama kulima minazi. Wajukuu watakuta minazi. Mahindi hawakuti. That's the differen. Kama unafanya kitu ambacho eti "kinakuweka mjini". Yani shida yako ni kikuweke mjini tu basi unalima mahindi.. Watoto na wajukuu wataishi kwa kutegemea mvua na chakula cha msaada. Why subject them to such a sorry life wakati ungeweza kufanya kitu cha kudumu for them.
Ungeweza kujenga biashara imara lakini ukasingizia eti ooh siyo kila mtu lazima awe na miradi. Watoto na wajukuu zako wataishi kwa kusubiri ajira. Na maroboti yanakuja, drones zishafika, Google kitu kinaitwa ARTIFICIAL INTELLIGENCE (au Al kwa kifupi) ujifunze jinsi ajira zitakavyopotea huko tuendako.
Ungeweza kufanyia kazi kipawa chako ukakifanyia kazi na kujinoa kwa muda mrefu ili siku ukiingia sokoni uweke alama but hutaki.
Ungeweza kuja kufungua kampuni kubwa baadaye ili utatue hilo tatizo la ajira linalokukera lakini wewe unataka uajiriwe WEWE. Ili uvae vizuri ukope gari ukale Samaki Samaki afu basi. Ukifa na degree yako inakuwa imeishia hapo. Hakuna kinachodumu. Mungu akikuuliza huko ulikotoka uliacha nini jibu huna. Kisa ulipenda kulima mahindi ukaona minazi usumbufu. Eti ntaushije. Eti siwezi kujitesa maisha yenyewe mafupi. Ngoja ukifa hujaacha kazi ya maana hapa ndo utayakuta huko maisha marefu kweli kweli.
Usiwe blinded na RELEVANCE ya muda mfupi. Matajiri wengi walipita vipindi vya kuchekwa na kukosa hata pesa at times.
Kutothaminiwa na ndugu au jamii nk. Kwa kuwa tu walionekana hawavuni haraka haraka kama wengine. Kumbe mwenzao amelima minazi. Au Chinese Bamboo.
Wengi wakilima wakaona inakawia huishia njiani na kwenda kulima mahindi tena. Afu basi. Wanakuwa relevant now. Lakini jina lako hata wajukuu watakuwa hawalijui. Ukichunguza kwa nini watoto leo wanajiita Don Ronaldo sijui Boss Lady. Pamoja na mambo mengine but pia ni kwa sababu kwenye surname yake huyo mtu hakuna Dewji wala Mengi wala Mufuruki. Si rahisi mtoto wa Dewji kujiita sijui Don Van Persie au Sijui Undertaker hahaaaa. Issue ni surname sometimes. So usije shangaa watoto wako na wajukuu hata jina lako wametupa kando tena hata hujafa. Surname haina mvuto. Kila uliona minazi inakukawiza kula bata.
Chagua vizuri.
Usiangalie leo tu my friend.
Semper Fi,
Andrea G Muhozya
Dar es Salaam, Tanzania
East Africa
+255788366511
www.andreamuhozya.blogspot.com
Jumanne, 3 Januari 2017
THERE WILL BE THREE SURPRISES IN HEAVEN (PART I)
Happy New Year everyone..
Thank God we are still together, and you know why? It's because we still haven't done our assignments here on planet earth. Otherwise we would be long gone.
So, again, Happy New Year, 2017!
It's not wise to dwell in the past, no matter how good or bad it was. But allow me to tell you one of the greatest things I will forever be grateful for 2016. I met a mentor. And since I met him I have learnt a lot of things. So I thought I should share one of the things I learnt while having a conversation with my mentor on the last days of 2016.
We were talking about life and I guess he realized that I was still one of those people who talk about LIFE as a word instead of LIFE as a reality, a real thing. If you're one of those I assure you you're not alone. So he might have picked that from my words. I know him. He listens not only between the lines but I thing also WITHIN the lines. He said to me, "See, the object of life is to serve God and serve (God's) people". That means if you don't live your life as a SERVICE to God and to people then you're just existing - no matter who you are.
Think about that for a moment.
He went on to tell me, "See there'll be three surprises in heaven, one of them is when religious people MIGHT find people like Michael Jackson sitting in the middle of all the big fishes like Abraham, King David, Peter and Paul. That'll be quite a surprise, no?"
I thought, well YES!
What do YOU think?
Well if you do your research among strong professing people of religious beliefs of every kind on their view of heaven you can be certain they have a list of things you must do to get there. As a Christian myself I also did live my life as a religious person for a long time. And so I know what I'm talking about. If you ask a typical Christian or Moslem how to get to heaven you'll get your answer right away and if you only stick to THAT answer alone I'm telling you you may be well on your way to hell with your eyes wide open.
The object of life is to SERVE GOD AND TO SERVE PEOPLE. If you don't do that you have wasted your lifetime for nothing. Bora hata nyuki alizalisha asali wakati wa uhai wake! It doesn't really matter how many times you pray in a day or in a week or which days you worship God. I'm telling you THAT'S NOT THE WAY TO HEAVEN.
When I was in High School there was always a question asking you to COMPARE AND CONTRAST between things. So let's do the same with Michael Jackson for example. We can not be sure where he went for sure but let's just take an account on whether he LIVED or JUST EXISTED.
As I said the object of life is to make your life that of serving. Not to enrich yourself but to serve. I loved it when I heard that Bill Gates isn't planning to bestow his wealth on his children but on charitable causes. Can you imagine that? In other words he is telling his children Hey, my wealth is for service to other people. You've got a fairly good life already!
Do you have SUCH a heart towards other people? That you can work day and night for way too long and create so much wealth just for other people?
Is that what your life is about? Or are you like the many others trying to GET something from this earth, trying to build houses and buy cars and take em vacations and dine and wine in the finest places on the planet and then die, never having touched the lives of those that are struggling?
See one of my friends once asked me once "Why do you write so much stuff, you don't get tired"? What he didn't realize is that I'm doing God a service. I am serving God and his people. I'm trying to give back the little I have. I am trying to lift someone up and educate people. I'm trying to contribute something to life. I'm trying to LIVE and not just exist.
So, back to Michael Jackson. This is a guy who shook the music industry. He left his mark. He didn't just coast around he went all the way up and made all the money he could make through his talents and abilities which were GOD-GIVEN. He became not only famous but also RICH. It's what he did with the money that I want to share with you to challenge you to look at yourself and see if you are living or just existing.
Here's a short list for purposes of pondering on:
In 1984 he made $1.5 million from a Pepsi commercial. If you're here in Tanzania that's more than Tshs 3 billion in one commercial. And it is 1984 we are talking about. Most people weren't born yet. But wherever you are, a million and a half is really big money. Michael Jackson donated ALL OF IT to a BURN CENTRE FOR CHILDREN TRUST.
How would God feel?
In 1985 Michael Jackson wrote the famous song WE ARE THE WORLD with Lionel Richie and performed it the same year TO RAISE MONEY FOR AFRICA.
How would God feel?
1986 Michael Jackson set up the Michael Jackson N*gro College Fund to help fund the education of people of colour who were generally looked upon by whites.
How would God feel?
In 1989 he would give tickets to his show to underpinned children and donate proceeds from his show to CHILD HELP USA - the biggest charitable organization against child abuse, according to the #LookToTheStars Organization.
In 1992 Michael Jackson established the HEAD THE WORLD FOUNDATION. This one worked hard to airlift about 6 tones of supplies in Bosnia. Few people remember the BOSNIA WAR that followed the collapse of the former Yugoslavia and the Serbs backed by Slobodan Milosevic. I still remember my brother who used to ask me as a little boy: "UNAWAJUA WA-SERB WA BOSNIA"? (Do you know the Serbs of Bosnia?) obviously after hearing it over the news back in the village thanks to that small Panasonic "radio" back then. Then I would ask him NDO KINA NANI? (who are they)? And he'd try to explain things to my little curious mind. Well that was all for us. But much later when I was studying Law at the University I got to dig deep into that conflict and discover way more things than I thought there was to it.
But by that time, 1992, Michael Jackson would have 6 tons of supplies go to people affected by the same war my brother and I were trying to understand.
The same foundation provided education on the effects of drugs and alcohol and donated millions of dollars to less fortunate children.
How would God feel?
I once heard that he even attempted to buy the TABLE MOUNTAINS in Cape Town with the intent of having all the proceeds that would emanate from that unique tourist attraction go to help children in Soweto. And although this deal wouldn't go through but how would God feel?
I mean, beyond any of his imperfections. How would God feel? Would God feel like, 'yeah, that's the work of my hands trying to improve the situation', or would God feel like, 'oh I wonder why he isn't doing anything to help somebody else?'
You just guessed right!
And so.... how does God feel about how YOU and I spent our money in 2016? I'm sure God is NOT HAPPY WITH ME in that regard.
I don't know about you?
COMPARE AND CONTRAST. Remember?
So most of us have just been EXISTING for way too long. But as for me now I've started living. So I will write and speak so much until my fingers and vocal chords beg for mercy.
I want to change somebody's life.
I want to improve the situation before I go.
I want to be of service before my time is up.
I want to give more and more.
I may not have all the money now to donate to people suffer in Allepo or Burundi but what I have I will give it all. For that, ladies and gentlemen is the real OBJECT of life.
To give.
So make it your business to give the best that you have to give support, to give encouragement to give help to give support and as Les Brown once said, if that's what your life will be about, then it will all come back to you. So give it all. And perhaps God will look beyond your imperfections and eventually LEAD YOU TO HIM.
That's why religious people might be surprised to find people who didn't practice religion as much as they did in heaven. Because they don't bother themselves much to give their all to improve the situation. Prayer is the most powerful thing on earth. But if you don't do that which will improve the situation then you haven't lived a life of service but you've led a selfish and self-centered life of wanting a car and a house and children and vacations and nice food and drinks as if God took His time to create you to come down here and have fun and go.
Listen to me: The world is not a night club my friend.
Be responsible.
Semper Fi,
Andrea G. Muhozya
Dar es Salaam, Tanzania,
East Africa.
+255788366511
www.andreamuhozya.blogspot.com
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)